Ni nini kinasababisha usingiz???

Ni nini kinasababisha watu tulale

Add Comment
2 Answer(s)

Uchovu wa mwili

Freshman Answered on March 9, 2020.
Add Comment

Ubongo ndio unaosabanisha usingiz au kupelekea usingiz kwa sababu muhimu mbalimbal kama kuimalisha njia za ubongo kwa ajir ya usafirishaji wa taarifa ili kukusaidia kusoma na kutengeneza kumbukumbu mpya.Pia kuondoa sumu mwilin unapoamka ,zaid ya yote usingiz n muhimu mno .

Freshman Answered on March 17, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.