Ni sahihi kula matunda baada ya chakula?

Wengi hula matunda baada ya mlo, je ni sahihi? Na usahihi ni upi?

Sophomore Asked on September 3, 2019 in afya.
Add Comment
2 Answer(s)

Matunda ni muhimu kiafya kwani husaidia kutibu na kama kinga ya baadhi ya magonjwa. Ila kula baada ya kula chakula ni muhimu kwani husaidia katika mmeng’enyo wa chakula mwilini na hii itafanya usiwe na choo kigumu pindi huendapo aja kubwa.

Senior Answered on September 3, 2019.
Add Comment

Wakati mzuri wa kula matunda ni mapema asubuhi baada ya glasi ya maji. Wanasayansi wengi wanadai kula matunda mara tu baada ya kula sio wazo zuri ila sio jambo baya ila ni vyema kuepuka, kwani virutubishi vinashindwa kufyonzwa vizuri.
Unahitaji kuacha pengo la angalau dakika 30 kati ya chakula na matunda. Kwa kweli, mtu anapaswa kula matunda saa moja kabla ya chakula au masaa mawili baada, ikiwa wana ugonjwa wa kisukari au shida nyingine yoyote ya mmeng’enyo.

Professional Answered on September 5, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.