Nilimaliza form 4 mwaka 2018 nikapata four, je na weza kusomea nini chuon Kikuu?

Answered

Nilimaliza form 4 mwaka 2018 nikafanikiwa kupata form ya Dkiswahili ,Dhistory,Dcivics je na weza kusomea Nini chuoni

Freshman Asked on January 13, 2020 in Education.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Pole sana ndugu yangu lakini mi naomba nikupe ushauri binafsi…kama kweli unapenda kujiendeleza kimasomo basi ni vyema kufanya hivyo lakini je unaonaje ukisomea ujuzi fulani yaani kozi fupi? cha msingi ni kujua unataka nini katika maisha yako, Mungu akitangulizwa mbele mi naamini hata kama ulikuwa mkia darsani utakuwa kichwa mtaani

Sophomore Answered on January 13, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.