nini kitatokea kama wanyama wote watatoweka duniani?

NINI KITATOTEA  ENDAPO WANYAMA WATATOWEKA WOTE DUNIANI?

Freshman Asked on June 23, 2019 in animals.
Add Comment
2 Answer(s)

Swali zuri sana kaka. Nadhani kwa jinsi nakuelewa, ulivyosema wanyama umewaondoa binadamu maana jibu langu nalolitoa linamuacha binadamu.

Ili kujua nini kitatokea lazima tujue kuwa Wanyama (wote kiujumla) hutupia chakula, husafisha maji, hutuletea oksijeni na madawa. Hivyo basi wanyama ni muhimu sana kwetu. Hivyo kupotea kwa viumbe hao kutasababisha ‘nature’ ikose kutupa viful fulani muhimu.

Hiyo haitaathiri afya zetu tu bali hata uchumi. Mfano hai, kiuchumi Tanzania inategemea utalii katika asilimia kubwa sana hivyo kukosekana kwa wanyama tayari sekta ya utalii ambayo inakua kwa kasi itaporomoka.

Athari kubwa kimazingira zitatokea, mfano wadudu wadogo warukao (kupe na viroboto) ambao hutegemea miili ya wanyama kuishi watahamia kwa binadamu. Baridi itaongezeka duniani na pia binadamu tutakuwa wala mboga tu ‘vegetarians’ hivyo mimea nayo itapungua kwa kasi hivyo kwa namna moja au nyingine mimea nayo itakua hatarini kupotea.

Professional Answered on June 23, 2019.
Add Comment

Wanyama wote wakitoweka duniani ikolojia inayumba na kupelekea viumbe hai vinavyobaki kupotea na vyenyewe mwisho wa siku kwa sababu tunategemeana

Senior Answered on July 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.