nini maana ya sophomore??

Answered

baada ya kua freshman kwa muda kidogo sasa nimefanikia kua ”sophomore” ningepende kujua zaidi maana ya neno hili

Junior Asked on July 26, 2019 in Elimu.
Add Comment
3 Answer(s)
Best answer

Kwanza hongera na asante kwa kujiunga na jukwaa letu la kuelimishana

Ukusanyaji wa karma 50 unakufanya uwe Sophomore katika jukwaa letu. Sophomore anakuwa na uwezo wa ku ‘vote’ maswali na majibu na kutoa ‘comment’. Ifahamike kuwa uki’vope up’ swali la mtu basi huyo mtu anapata karma 2 na uki’vote up’ jibu la mtu basi huyo mtu anapata karma 3 lakini uki’vote down’ iwe swali au jibu basi huyo mtu anaondolewa karma 1.

 

Maana halisi ya sophomore.

Kwa marekani, Sophomore ni darasa la 10 au kwa lugha nyingine ni darasa la upili katika ‘high school’.Hata kwa chuo mwanafunzi yeyote aliye mwaka wa pili ni sophomore.

Professional Answered on July 26, 2019.
Add Comment

Itakuwa ni pongezi ya kupata Karma nyingi

Senior Answered on July 26, 2019.
Add Comment

Inamaana umekua sasa, unaweza kupewa majukumu mazito kama ya kukoment na pia kuvote mazee baba hongera

Senior Answered on July 26, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.