Nina Tsh 2,000,000 Je, niwekeze au niweke akiba?

Kwa milioni mbili ya kitanzania nini cha maana naweza fanya ili iongezeke au nisiipoteze kizembe? na kama kuwekeza, niwekeze kwenye nini haswa?

Sophomore Asked on November 11, 2018 in biashara.
Add Comment
4 Answer(s)

Usiweke akiba yote Wala usiwekeze yote…igawe..nyingine weka akiba, nyingine wekeza.. don’t put all your eggs in one basket 😁

Freshman Answered on June 23, 2019.
Add Comment

Sasa hapo inategemea na nini na kipi unachotaka kuwekeza , ama ni kwa lengo gani unategemea kulifanya ukiweka akiba pesa yako….millioni mbili ni pesa nyingi sana ukiwa na malengo na ni ndogo sana kama huna malengo…
Unaweza ukaweka akiba lakini kama huna lengo unaweza kuishia kuila tu…na una weza kuwekeza kwa kwa pupa ikaisha kama sabuni😂😂…
Ushauri wangu 1. fanya utafiti kwa kina kama unataka kuwekeza katika jambo litakalokua na tija 2.Kuwa na lengo madhubuti utakalo litimiza pindi utakapo kuweka akiba ya pesa yako …AKSANTE

Senior Answered on July 22, 2019.
Add Comment

Bila kuchelewa , weka akiba. Yaaani nkwambie siri moja, kuwekeza kunaweza kufany uhisi ndio njia salama ya kuhifadhi pesa yako lakini ndugu yangu kuwa makini. Uwekezaji una hasara na faida kwa hiyo kama hiyo milion 2 sio muhimu sans bas wekeza ila kama ni muhimu sana na tegemeo basi itunze tu maana haitapotea.

Sophomore Answered on August 5, 2019.
Add Comment

igawe nyingine wekeza nyingine weka akiba mana huwezi amini uwekezaji 100%

Junior Answered on September 12, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.