‘Search Engine’ ya kwanza duniani kati ya hizi ni ipi?

Answered

(A) Google

(B) Archie

(C)Altavista

(D)WAIS

Sophomore Asked on August 20, 2019 in Technology.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Archie ndio Search Engine yakwanza ilianza mwaka 1990. Ilianzishwa na Alan Emtage akiwa mwanachuo katika mcGill University huko Montreal. Ikianzishwa kama Archive but ikafupishwa kama “Archie”.
Archie ilisaidia sana kuhusu ukame wa data au taarifa.

Senior Answered on August 20, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.