Tajiri namba moja duniani ni nani?

Leo hii tunasikia tajiri namba moja anatoka marekani, ni mtu tu? au familia?

Sophomore Asked on January 8, 2020 in biashara.
Add Comment
1 Answer(s)

Tajiri namba 1 duniani ni Jeff bezos founder wa Amazon akiwa na utajiri wa dollar za kimarekani billion 117.5

Freshman Answered on January 10, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.