Uchafu unasababishwa na nini???

Uchafu unasababishwa na nini

Junior Asked on September 19, 2019 in afya.
Add Comment
2 Answer(s)

Uchafu unasababishwa na kuweka kitu sehemu isiyo mahali pake…
Mfano:• sahani za chakula zikiwekwa chumbani huo ni uchafu..
•Kitanda kikiwekwa jikoni ni uchafu tayari
• makopo ya maji yaliyotumika kuwekwa kabatini ni uchafuu

Senior Answered on September 20, 2019.
Add Comment

naona @mruma yuko sahihi
kua kitu chochote kinaweza kua uchafu kisipo kua mahali sahihi

Junior Answered on September 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.