Umejifunza nini kupitia swahiliqa?

Changia chochote

Senior Asked on August 14, 2019 in Ushauri.
Add Comment
2 Answer(s)

Nimjifunza mengi sana, hasa kupitia maswali yako. Kwanza nilikuw sijui WeChat inamilikiwa na kampuni iliyo chini ya Waafrika kusini

Sophomore Answered on August 15, 2019.
Add Comment

Ni mambo mengi sana niliojifunza kupitia swahiliqa, ila kubwa zaid ni kwamba nimejua kuna umuhimu wa kuendelea kuongeza maarifa sehem na wakat wowote.

Junior Answered on August 17, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.