Unaelewa nini unaposkia ugonjwa wa bawasiri (haemorroids)

Answered

Chanzo chake, kinga, tiba, ni wakuzaliwa nao au unakuja baada ya kupungukiwa madini fulani mwilini…?

Unaelewa nini unaposkia ugonjwa wa bawasiri (haemorroids)

Junior Asked on August 22, 2019 in Health.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

hemorrhoids huu ni ugonjwa unasababishwa na dilation au enlargement ya veins za sehemu ya chini ya rectum au anus. kuna aina mbili ya hemorrhoids ambazo ni internal ana external hemorhoids
sababu zake…
1.constipation (choo kigumu)
2. kusimama au kukaa kwa muda mrefu
3.kubeba vitu vizito
4. ujauzito (hizi ni za muda tu)
5.kuhara
kinga
1.kunywa maji mengi
2.epuka kukaa au kusimama kwa muda mrefu
3. usilazimishe kutoa haja kwa nguvu
4.fanya mazoezi
5. kula vyakula vyenye fibers
6.nenda haja pindi utakaposikia tu usikae mda mrefu

matibabu
sclerotherapy
cryosurgery (kutumia baridi)
banding (kuzifunga)

kama zimefikia degree ya tatu na ya nne kutibu ni kwa kufanya operation ya hemoirrhidectomy

Junior Answered on August 23, 2019.

Shaabashi mwanangu😅👍

on August 23, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.