Unaweza mshauri nini mtu aliyekata tamaa na maisha???

Unawezaje mshauri mtu

Junior Asked on August 16, 2019 in Ushauri.
Add Comment
1 Answer(s)

Kabla ya kumshauri ni vema kujua ni nini kinamkatisha tamaa ya maisha …😎

Ukishajua nini chanzo inakua rahisi sana kumshauri mtu huyo,,maana unaweza kumshauri ukihisi ni ugumu wa maisha kumbe ni kuusu mahusiano yaliyovunjika siku mbili zilizo pita….

Senior Answered on August 17, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.