Usajili wa Kitambulisho cha Utaifa uko vipi?

Ili nisajiliwe NIDA na nipate kitambulisho changu cha utaifa, nifanyaje?

Sophomore Asked on August 9, 2019 in Education.
Add Comment
1 Answer(s)

Kwanza kabisa tambua kwamba kupata kitambulisho cha taifa ni haki yako na ni muhimu sana wewe kama raia wa Tanzania..
Kuoata kitambulisho chako fanya yafuatayo…
1. Nenda katika ofisi ya Nida iliyo karibu na wewe au ofisi ya kata
2. Jaza fomu ya kuomba kitambulisho cha uraia
3. Ambatanisha na kopi ya nyaraka muhimu ulizonazo kama;
-cheti cha kuzaliwa
-kitambulisho cha mpiga kula
– leseni ya gari kama unayo
-vyeti vya kielimu kama unavyo
Nb: hakikisha unapata muhuli na sahihi za kata yako au taasisi yako (mf: chuo chako)

Kisha utapewa utaratibu na siku ya kupata kitambulisho chako huko huko…

RE: Usajili wa Kitambulisho cha Utaifa uko vipi?


Then unapata kitambulisho chako chenye muonekano huo👆

Senior Answered on August 9, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.