Usalama wa taarifa zetu mapokezi ya maofisi upo?

Nimekaa nikawaza, kuna hii kitu huwa tunafanya tukienda kwa biashara zetu katika maofisi hasa ya kiserikali. Tunajaza Taarifa zetu kwenye daftari la wageni hasa namba za simu. Swali ni je usalama upo. Kwa kujiuliza tu, hivi hawa jamaa wanaotuma jumbe fupi za kuhusu waganga au kwamba “ile hela tuma huku” huwa wanatoa wapi namba zetu??

Sophomore Asked on December 5, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Umewaza vzuri, swali jingine hapo hapo, “yale matangazo ya huduma kupitia ujumbe mfupi kwenye simu wanatoa wapi namba zetu” unakuta meseji katika laini yako mfano voda au tigo inapokea meseji ya kutaka kujiunga na huduma fulani namba wanatoa wapi? Ni kampuni za simu zinauza namba zeru au ni sie wenyewe?

Freshman Answered on December 6, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.