Vitabu gani vinamfaa mfanyabishara mchanga?

Mimi ni mfanyabiashara mdogo sana, ila natamani kuikuza biashara yangu. Vitabu gani vya kunipa maarifa na mbinu za mfanyabiashara aliyekomaa?

Freshman Asked on August 27, 2019 in biashara.
Add Comment
2 Answer(s)

Inategemea unajihusisha na biashara gani ila kama biashara za maduka/nguo/mazao/mauzo ya rejareja au jumla kwa rate ndogo upande wangu siwezi shauri kutumia secondary source ya data kufahamu soko la biashara yako na ukuaji wako, kwani kwa biashara ndogo mimi nimejifunza ni bora kufanya research mwenyewe kwa kuingia sokoni na kutambamua wateja wako sahihi na kuelewa maana biashara za namna hiyo wateja wengi unaonana nao uso kwa uso hivyo nirahisi kufahamu changamoto, mapungufu yako na nini wanapenda, ila biashara inapokuwa imefika medium level ndio muda sahihi kutumia research za watu wengine ilihali ukiwa unajiandaa kufika katika level kubwa. Ni ushauri wangu maana sijui kitabu gani nikushairi.

Senior Answered on August 27, 2019.
Add Comment

Mimi siamini katika kusoma vitabu ili ufanikiwe wala kuangalia video za ushawishi( inspirational clip),, mimi ushauri wangu kwako ni kwamba unahitaji ukomavu wa hali ya juu katika kujikita katika biashara ,pangilia vipaumbele vyako na chapa kazi kwa kwenda mbele
Na usisahau kujifunza kutoka kwa watu wa karibu waliokutangulia kwenye biashara hiyo…

Mimi nawaaminia sana wanawake pindi wawekapo nia ya kutaka kitu fulani huwa maranyingi mwanake atafanya chochote ili tu afanikishe adhma yake, nakushauri weka nia utafanikiwa👍

Senior Answered on September 7, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.