Wanasema nguo ya kuazima haifichi matako,ivi waliotengeneza msemo huu unafikiri walilenga nini haswa?

Misemo mingi huwa na maana zake….na mahusia yake,, je wewe unafikiri msemo huo unamaana gani na je tunajifunza nini kupitia msemo huo mfupi!!!

Senior Asked on September 10, 2019 in Elimu.
Add Comment
1 Answer(s)

Msemo huo una maana kuwa, cha kukopa huwezi kukitegemea siku zote kwa kuwa mwenye nacho anaweza kudai mda wowote. Kiukweli huyo ‘Mhenga’ aliyetunga huo msemo yawezekana alimaanisha hivyo au tofauti 🤣

Professional Answered on September 11, 2019.

Hiyo pia ni moja ya lengo la muhenga huyo….siku zote mfano pesa ya kuazima huwezi ukaitumia kwa raha katu kama ya kwako👍

on September 11, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.