Wiki inaanzia Jumamosi au Jumatatu?

Ujue kila nikiwaza siku ya jumamosi basi nahisi inamaanisha juma moja, jumapili ni juma mbili na jumatatu ni juma tatu. Sijawahi elewa siku gani haswa ni ya kwanza katika  wiki? Wengi huitambua jumatatu, kwanini?

Sophomore Asked on November 25, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Wiki inaweza anza jumatatu(Roman), inaweza anza jumapili(Jewish) inaweza anza jumamosi(isilamic society) . Ni maamuzi tu ya jumuia fulani ya kwako unaweza panga ata iwe inaanza jumatano

Freshman Answered on November 30, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.